Thamani ya faida Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / March 20, 2023 Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.
Tuwe wenye Hodari na wenye uwezo Tunatakiwa tujenge uhodari na uwezo utakaotusaidia kutumia fursa zilizo wazi mbele yetu.
Mke Na Mme Kusaidiana Inapendeza kweli mke na Mume kusaidiana. Kusaidiana ni Kushirikiana lakini kugawana majukumu…