Kutokuwa na kitu Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / November 20, 2023 Kukosa mtu, kitu au jambo fulani kunasababila Moyo kujenga upendo kwenye mtu, kitu au jambo ulilolikosa.
Kushindwa jambo sio Makosa Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.
Kinga ya magonjwa na madhara yote Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au…