Chema na kizuri Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 29, 2022 Sio kila kizuri ni chema, lakini kila chema ni kizuri. Uzuri wa chema ni wema wake.
Kushindwa jambo sio Makosa Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.
Mke Na Mme Kusaidiana Inapendeza kweli mke na Mume kusaidiana. Kusaidiana ni Kushirikiana lakini kugawana majukumu…
Kufanya Biashara vizuri Ukitaka kufanya biashara kwa ufanisi; wakati wa kununua nunua ukiwa na mtazamo…