Siri ya kushinda hasira Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / February 20, 2023 Siri kuu ya kuishinda hasira yako ni kusubiri kabla ya kutenda unapokuwa na hasira.
Thamani ya faida Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.