Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii

Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leoΒ Wadada acheni hizoΒ πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒοΏ½πŸƒοΏ½πŸƒοΏ½πŸƒ

236 thoughts on “Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii”

Leave a Reply to Rose Amukowa Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart