SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy

Baba mmoja Juzi alimpaka Sumu Mke wake kwenye Matiti akiwa amelala ili Mtoto akinyonya afe kwani alihisi sio wa kwake, akaondoka kwenda kazini aliporudi akakuta house boy amekufa, usiniulize alikufaje. Mie mambo ya umbea sipendi niliondoka zangu mapemaaa!!😅😅😅😅

😝😝😝😝😝😝

236 thoughts on “SOMA HII! Baba kampaka Sumu mkewe kafa Houseboy”

Leave a Reply to Mgeni Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart