Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake

Msanii mmoja anaitwa ”KINYA” alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
”YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapaโ€ฆ!!!

Yeye akasema: “YEAH NIKINYA HAPAโ€ฆ!!!”
Watu wakapiga kelele ”UTAZOAAA” mwenyewe bwenge wee

JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEโ™ฅ

237 thoughts on “Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake”

Leave a Reply to Elizabeth Malima Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart