Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 10, 2022 Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo 1. Chukua zabibu kavu Loweka zabibu 30 mpaka 40 ndani ya kikombe cha maji kwa usiku mzima. 2. Asubuhi kabla ya kula wala kunywa chochote kula zabibu moja baada ya nyingine na unywe pia maji yake 3. Rudia zoezi hili kila siku kwa majuma kadhaa hata mwezi.
Faida 10 za kulala mapema kiafya Mapera ni matunda yanayo patikana kwa wingi lakini mara nyingi huwa hayapendelewi…
Vyakula 7 vya kuepuka kula ili uwe na afya nzuri Inasemwa kuwa “wewe ni kile unachokula” kwa kumaanisha kuwa mwonekano wetu na…
Jinsi ya kuepuka kunuka mdomo Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu…
Madhara ya kubana mkojo muda mrefu Utakubaliana na mimi kwamba, kitendo cha mtu kubanwa na haja ndogo siyo…
Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu Hatua za kufuata Chukua Kijiko kikubwa kikubwa cha tangawizi mbichi iliyoparuzwa Changanya…