Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 10, 2022 Hatua za kufuata 1. Tengeneza glasi moja ya juisi ya karoti 2. Weka vijiko vikubwa viwili vya asali ndani yake na kisha changanya vizuri 3. Kunywa yote asubuhi tumbo likiwa tupu na jioni glasi nyingine kwa majuma kadhaa
Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama…
Faida 13 za kunywa juisi ya miwa Unapopita maeneo mengi ya mijini na pembezoni wa miji utakutana na wafanyabiashara…
Faida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafya Leo nimekuletea matumizi ya mbegu ya parachichi yenyewe yaani ile inayokuwa katikati…
Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali Chunusi ni nini? Chunusi ni ugonjwa wa ngozi unaosababisha vipele vidogo vidogo…
Jinsi msongo wa mawazo unavyoweza kukusababishia ugonjwa wa moyo Kila mmoja wetu anaweza kuwa na sababu tofauti inayoweza kumsababishia msongo (stress).…
Vyakula vinavyoongoza kuongeza akili kwenye ubongo BILA shaka ubongo ni miongoni mwa viungo muhimu vya binadamu lakini ni…