Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 10, 2022 Hatua za kufuata 1. Tengeneza glasi moja ya juisi ya karoti 2. Weka vijiko vikubwa viwili vya asali ndani yake na kisha changanya vizuri 3. Kunywa yote asubuhi tumbo likiwa tupu na jioni glasi nyingine kwa majuma kadhaa
Jinsi ya kuepuka kunuka mdomo Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu…
Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama…
Namna ya kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawa Upungufu wa nguvu za kiume umekua tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi.…
Mambo ya msingi kufahamu kuhusu uotaji wa meno kwa mtoto Mtoto wako atakapofikisha miezi sita, ataanza kuota meno. Watoto wengi wanapotaka kuota…
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau.…
Mambo Mubimu kujua Kuhusu Tatizo la Shinikizo la damu (Tatizo la presha) Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo…