Ushauri kwa mtu Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / May 20, 2023 Usimpe mtu ushauri ambao unahisi ataukubali sana, mpe mtu ushauri wenye manufaa kwake japo ni mgumu kuukubali.
Kufanya Biashara vizuri Ukitaka kufanya biashara kwa ufanisi; wakati wa kununua nunua ukiwa na mtazamo…
Umbali na upendo Unapokosa kitu ukipendacho kwa muda mfupi kinapungua thamani, ukikikosa kwa muda mrefu…
Thamani ya faida Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.