Maisha ya ujana Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 20, 2023 Maisha ya ujana ni kufanya mema au mabaya, kushinda au kushindwa. Uzee ni sherehe au majuto ya ujana.
Maendeleo kwa mfano wa Kobe Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni…
Thamani ya faida Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.
Kuacha jambo au kitu chochote Kuacha kitu chochote kabisa moja kwa moja ni rahisi sana kuliko kufanya…