Ukaguzi wa Kila siku
âĸ Hakikisha unasafisha vyombo vya kulishia na kunyweshea pamoja na viota.
âĸ Ondoa kinyesi kwa kuku.
âĸ Waangalie kuku wako kwa makini ili kujua afya na maendeleo yao. Yaani ili kutambua kama kuna mwenye ugonjwa
Ukaguzi Kwa wiki
âĸ Ondoa matandazo machafu na kuweka mapya ili kuzuia kuzaliana kwa vijidudu vya magonjwa.
Ukaguzi kwaKwa mwezi
âĸ Angalia uwepo wa wadudu na chawa, kisha utibu kama kuna ulazima.