Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?

Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele “mamaa” mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu “mama nimeota ndoto mbaya sana” ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu “nimeota tumefungua shule”

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐ŸŒš๐ŸŒšKibaooooo nyau wewe

236 thoughts on “Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?”

Leave a Reply to Isaac Kiptoo Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart