Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi

Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.

Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company

😂😂😂

 

236 thoughts on “Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi”

Leave a Reply to Anna Kibwana Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart