Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia “mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!”

236 thoughts on “Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi”

Leave a Reply to Hamida Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart