Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo

Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia “Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/=”

Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.

SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI.

236 thoughts on “Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo”

Leave a Reply to Michael Onyango Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart