Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.

3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.

5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.

6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.

7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.

8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.

9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.

10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.

238 thoughts on “Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi”

    1. yani:mtu:unajickia kumpenda:: :mtu::alafu
      anashindwa::kukuamini::
      ety we binti wambeya :kwanini huniamini: nakupenda mwenzako
      ΒΏ? ΒΏ?

    2. “.nampenda sana mama
      nawewe ndugu yangu mpende sana mamayako mana yeye ndo kafanya mimi nawewe tukajuana muheshim mamayako haijalishi yuko vp kabra hujawaza kumzalau mama yako fikilia kwanza amekubeba tumboni myezi 9 mkumbuke kwaicho kdogo ulichopata mana hata yeye kipindi uko mdogo hakuweza kula paka uliposhiba wewe
      hakuvaa nguo nzuri paka ulipo pendeza wewe hakulala usiku paka ulipo lala wewe nabado haikutosha miguu yake ukaifanya ndo choo chako mapajayake ukayafanya kiti chako mgongo wake ukaufanya gari lako lausafiri kila alipo upo nabado haikutosha akajifunya lugha yako yautotoni isioeleweka ir unapoongea ajue unahitaji nini akawa kama kichaa kukuchezesha iri usilie kukuongeresha hali yakuwa huongei ili ujuwe lugha sahihi paka leo umesimama amepitia meng mazito nandomana mama amepewa cheo kikubwa kwamtoto mama nimungu wapili baba asingeweza mama akikupa ladhi hutofanikiwa maisha yako yote nawenda ukawa chizi kabisa
      ABU menn by

      1. kunasiku baba aliniambia nikasimamie wafanyakazi mi nikaenda kuwasimamia kweli hadi mda wakula nimewasimamia baba akanikuta nimesimama ety wewe mbona unawasimamia watu wako wanakula nikamjibu kwani wewe ulinambia nije kuwakalia au kuwasimamia
        waTanzania tutenguege kauri utakuta mtu anajita msimamizi wakati mda wote amekaa oficini sasa wewe nimsimamizi au mkalizi hahaha
        abu meenn by

      1. :KADI YA MWARIKO:
        WA vita
        familiya ya mzee MAANDANO na
        bibi MAUWAJI wanayo furaha kubwa kukualika kwenye sherehe yamtoto wao mpendwa aitwae KIFO anaetarajia kufunga ndoa nawewe MABOM NA RISASI yaliopo eneo lamtaani kwako tarehe 19 mwezi 12vinakukaribisha sana kwamaelezo zaidi KAZURURE SOKONI MITAANI NAMJINI hadi usiku UMAUTI WAKO ndiyo mafanikio yasherehe hiyo
        ABU MENN BY
        HAHAHA nyoote mnakaribishwaa
        misimo

      2. :KADI YA MWARIKO: wa VITA
        familiya ya mzee MAANDAMANO
        NA bibi MAUWAJI wanayo furaha kubwa kukualika kwenye sherehe ya mtoto wao mpendwa aitwae KIFO anaetarajia kufunga ndoa nawewe
        MABOM NARISASI NDO chakura chenu kilichopo eneo la mtaani kwako tarehe9mwezi12 tunakukaribisha sana kwa maelezo zaidi KAZURURE SOKONI MITAANI NAMJINI UMAUT WAKO NDO mafanikio ya sherehe hiyo
        ABU MAHEMBE
        menn by
        hahaha misimo

    3. “TANGAZO”
      “TANGAZO”
      “JAMANI”
      “ABU”
      “NIMEPOTEA
      “ATAKAENIONA
      “ANIPE”TARIFA”
      “MANA”
      NIMESHAJITAFUTA
      SANA”RAKINI”SIJIPATI”

      ABU MAHEMBE ME by
      nipe
      taarifa sasa 0681305278

      1. |
        | @
        |
        | !!
        | _/\_
        |
        |usione nikokimya
        nawaza mwaka 2025 ndohuuwo unakatika HIVI SIKUDAIΒ‘! KWERI
        fikilia vizur kama nakudai tuma kwahi namba kataa mataper 0681305278 abu ee by

    4. TANGAZO TANGAZO eee jamani kucheka nidawa kucheka niafya sasa mimi kama daktar tawatibu bure mpaka lin anzeni kunichangia jamani mcheke muongeze siku zakuishi nipeni kampan namimi nipate nguvu yakukusanya vichekesho kwauwered sasa tapataje nguvu yakufanya kazi isiokuwa namaripo USISEME NAKUCHEKESHA SIJAKUShIKA MDOMONI unacheka mwenyewe mi nik uku unanisingizia mimi kama vile nimelishaka domolako nikalipanua haya jamani tunaomkubar
      ABU MAHEMBE wote tujitokeze kwawing kumuunga mkono unatupia umu (0681305278)
      jelo au buku au yoyote uliyonayo kikubwa inifikie kama mchango namimi takuuanga text live kwanjia ya sms namba yangu iyoapo nichek kwa text zaid kwasasa sitapost tena text yoyote umu nimechoka kufanya kaz bira maripo sasampa usinitafute nikuunge kama hauna kesh tuma buku kwenye namb hiyo nikuunge
      nawapenda jamani ndoma had mnanijuwa jina wapo wanaopost lakn hajurikan hata kwajina sovizur best my text by tukutane live tuchat

    5. nili msimamisha njiani nikamuomba namba yake yasm akasita sita kama hataki mwisho akanipa ila kishingo upande nilipofika nikamtumia mambo akajibu pw nikaanza swaga zangu unajua toka nilipokuona pale mi moyo hauna amani nimetokea kukupenda sana nakupenda akajibu ahsante kwakunipenda tafikilia takupa jibu nikajibu naomba liwe jibu zur nakupenda sana akajibu sawa usijali ila nimeishiwa text nikamtumia vocha yabu pw pw ? zikapita siku3 yuko kimya nikampandia hewani mimimwenyewe vp jibu langu akanambia takupa badae usjal ilipofika badae nikapg 2kaongea tunacheka nikamuambia vp sas jibu akanambia we nimtu mzima sopaka utamkiwe usiaelewa kwamaneno hayo nikahis kabs %100 amekubal nikawa namuhudumia hela kusuka vinini ira sijapga hata busu siku yasiku ndo ananambia leo ndo nakupa jibu lako nikashtuka ila nikapuzi2 mida yasa3 usiku akapg sm mwenyewe nakuuwanza kusema mi namtuwangu SIKUPENDI alafu alishatumia kama 80000 yangu oya nimfanye nini uy dem au nim’bake ABU_MAHEMBE BYME

    6. Abuu mahembe@
      KARIBU Tanzania
      nchi yenye utajiri wamajungu
      nchi yenye baraka za uwongo”””
      nchi yenye wivu””Β‘
      nchi yenye kiu ya umbea nchi ya unafki
      ukipata pesa unalogwa ukifulia unachekwa ukiwaomba fanyakaz mwanangu mwanamke akinenepa unamimba ukikonda unaukimwi ukisafiri kwenda kutafuta amekimbia madeni ukikaatu! hana jipya hana nyuma wala mbele ukisimama napisi dakika5 anamtongoza hawajui kama nidadayako ukivaa vizur sharobaro ukivaa vibaya huyu maskin nimchafu ukilala nimvivu ukitembe mzurulaji sasa unaesoma ujumbe huu ukisikiliza maneno yawatu hutofanikiwa mana wanakaba paka pena naTanzania ndonchi pekee maskini hakusoma ira anailaum selekar naaliesoma anailam selekar et hana ajira wakat hata watumishi waselekar wameajiriwa sara huyu selekar nanani anaeajir wasomi mtafuteni selekar ABU_MAHEMBEbyme nicheki tubonge 0681305278

    7. sorry
      aliesoma anailaum selekar et hana ajira wakat hata watumishi waselekar wameajiriwa
      sasa
      huyu selekar ninani anaeajiri watu
      wasomi mtafuteni anaeitwa selekar ndoanae ajir au kipnd anaajiri we ulikuwa wap

    1. |YANI UTAKUTA |KUNALIJAMAA |RINAMUOGOPA
      |BINADAM MWENZAKE |KULIKO HATA LINAVO MUOGOPA MUNGU
      IVI UNAAKIRI WEWE!!
      “WEWE DADA WEWEKAKA UNAKUWA NAHOFU NABINADAM KULIKO HATA MUNGU UNAAKILI KWELI WEWE(%)

    1. “kumbe mungu alifanya “vema watu kufa “isgekua kufa sijui tungekula nini mana duni ingejaa “watu ABU APA wamiki sido

    1. ‘utakuta kunalijamaa
      .linamchukia mtoa mimba :wakati nalenyewe linapiga nyeto ivi unaakili wewe sasa mpiga nyeto namtoa mimba wote sihali moja kasolo mkia

    1. =mtihani wamaisha
      yako mwaka 2025 umetoka somo lauvivu
      umepata .23.0%
      kujituma .32%
      kutukana .45%
      utani .75%
      upendo .27%
      upole .1%
      mapenzi .100%
      sadaka .0.0%
      ibada .5%
      kaone usowake
      yani yoote umeferi
      somo lamapenz ndo umepata mia

Leave a Reply to John Lissu Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart