Lugha za namba ni noma

Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. AkanijibuΒ 21002Β Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU πŸ˜‚πŸ˜‚mtatuua na lugha zenu😜

236 thoughts on “Lugha za namba ni noma”

Leave a Reply to Robert Ndunguru Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart