Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa

Jambazi mmoja aliingia kanisani na bunduki akapiga risasi juu ya bati akasema “asiyempenda YESU atoke nje” wakatoka wote ispokuwa Mchungaji na Wazee wawili.

Jambazi likamwambia Mchungaji “unaweza kuendelea na ibada, nilikuwa nakuondolea wanafiki”, Mchungaji akasema “ungewaacha kwanza nichukue sadaka…!

236 thoughts on “Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa”

Leave a Reply to Michael Onyango Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart