Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema

Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza “kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?” Daktari yule akajibu “hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la ….”

236 thoughts on “Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema”

Leave a Reply to Francis Njeru Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart