Hii ndiyo maana ya matatizo

SWALI: Nini maana ya matatizo..?

JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!! Mwanajeshi, wee boya Tu

Mara ghafla chombo kikagoma kuwaka.!

😂😂😂😂😂😂😂😂

236 thoughts on “Hii ndiyo maana ya matatizo”

Leave a Reply to Mariam Hassan Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart