Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?
Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.

236 thoughts on “Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba”

Leave a Reply to Lucy Mahiga Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart