Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali

Mhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:

(a)Nyani haoni…..valisa miwani!

(B)Debe tupu….weka dengu!

(c)Masikini akipata….iko acha iba!

(d)Penye kuku wengi…chinja bili,tatu!

(e)Asiyesikia la mkuuu….peleka yeye polisi!

(f)Penye wengi……iko kutano ya chadema!

236 thoughts on “Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali”

Leave a Reply to Dorothy Mwakalindile Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart