Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake

MUME: “Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”

MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”

Je, huyu mama angekuwa mkeo ungekuwa na swali lingine la kumuuliza?

236 thoughts on “Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake”

Leave a Reply to Jane Muthui Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart