Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake

Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele “bonyeza send, bonyeza send wewe” abiria wote hawana mbavu

236 thoughts on “Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake”

Leave a Reply to Ramadhan Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart