Tamaa ni asili Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 20, 2023 Tamaa ni tabia ya kiasili ya kila mtu, tofauti ya mtu na mtu ni namna ya kukabili tamaa.
Thamani ya faida Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.