Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli

Mwanafunzi wa darasa la 2 kaulizwa na mwalimu wake

Hivi:je ukipewa maandazi 5 ukiambiwa kula 3 tu yatabaki mangapi?

Akamjibu hivi:nikipewa na chai hakibaki kitu mwalimu.

236 thoughts on “Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart