Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 10, 2022 Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo 1. Chukua zabibu kavu Loweka zabibu 30 mpaka 40 ndani ya kikombe cha maji kwa usiku mzima. 2. Asubuhi kabla ya kula wala kunywa chochote kula zabibu moja baada ya nyingine na unywe pia maji yake 3. Rudia zoezi hili kila siku kwa majuma kadhaa hata mwezi.
Njia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa…
Mambo muhimu kujua Kuhusu Uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani…
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi. Chemsha…
Suluhisho rahisi la nguvu za kiume hili hapa NI muujiza! Pengine hivyo ndivyo yeyote anaweza kusema pindi akisikia kwa mara…
Jinsi ya kufanya ili upate mtoto wa kike au wa kiume Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu…
Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza Vyakula hivyo ni; Maharage Nyanya Samaki Mboga za majani zenye rangi ya…