Mwanzo mzuri wa kitu Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / April 28, 2022 Kitu chochote kinapofanywa vizuri mwanzoni ni sawa na kimefanywa nusu tayari.
Thamani ya faida Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa.
Kinga ya magonjwa na madhara yote Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au…
Kushindwa jambo sio Makosa Kushindwa jambo sio Makosa, bali kuacha kufanya jambo kabisa ni makosa makubwa.