Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake

Ka ni wewe?

DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.

BABA: Kwanini unasema hivyo?

DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni kama wanatuchanganya.

ungekua wewe ungemjibu nini

236 thoughts on “Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake”

Leave a Reply to David Chacha Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart