Wanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari

MDADA: Baby nikwambie kitu
MKAKA: Yeah Baby Uko huru nambie
MDADA: nilikua naomba hela baby☺
MKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn 😖
MDADA: hapana😌 Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur .
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wanawake kumbukeni sio vizuri

236 thoughts on “Wanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari”

Leave a Reply to Francis Mrope Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart