Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?

*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?
*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.

*Boss*:-umesoma mpaka wapi?
*Jamaa*:-mpaka form four.
*Boss*:-unajua kingereza?
*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

236 thoughts on “Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?”

Leave a Reply to Grace Mligo Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart