Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe

Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.

Mama: Asanteni sana, sasa niwe nampa mara ngapi?
Dokta: Unatakiwa wewe uwe unakunywa vidonge hivi kutwa mara tatu kwa mwezi mzima, mumeo atapona.

236 thoughts on “Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe”

Leave a Reply to Nicholas Wanjohi Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart