Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi

Featured Image

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.





2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.





3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?





4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.





5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.





6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.





7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.





8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.





9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.





10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.


AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

Tabitha Okumu (Guest) on May 28, 2015

πŸ˜† Bado nacheka, siwezi kuacha!

Victor Mwalimu (Guest) on April 20, 2015

Huu ucheshi hauna kifani! 🀣πŸ”₯

Lucy Mahiga (Guest) on April 9, 2015

Hii imenikuna hadi nina furaha sana! πŸ˜ŠπŸ˜‚

Related Posts

Angalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa

Angalia huyu ticha wa Hesabu alichofanyiwa

Looku Looku* πŸ‘€πŸ‘€

*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii….!!*

... Read More
Askari na yeye kumbe muoga, cheki anachomjibu afande

Askari na yeye kumbe muoga, cheki anachomjibu afande

Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti ... Read More

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke... Read More
Angalia alichokifanya huyu mtu baada ya kuokota wallet ya thamani

Angalia alichokifanya huyu mtu baada ya kuokota wallet ya thamani

Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station "naitwa Juma nimepiga... Read More

SMS Mafua ndiyo hii

SMS Mafua ndiyo hii

JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?
Cheki hii hapa……..


"Mabo dugu yagu mziba? Bwa... Read More

Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa

Kweli mitandao imeharibu watu, angalia huyu anachokisema sasa

πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli nimeamin mitandao inahribu watu

Leo kuna jamaa kamuona Dada akipita barabara... Read More

Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao

Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao

JE WAJUA?

Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umr... Read More

Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete

Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete

Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ili... Read More
Je, Chuoni kwako Kukoje?

Je, Chuoni kwako Kukoje?

FACT!
1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJU... Read More

Gari na mke nini muhimu?

Gari na mke nini muhimu?

GARI YA MILIONI 50
UNALAZA NJE…
mke wa laki sita
unalala nae ndani….
BANG... Read More

Angalia sababu ya mwanamme kubadili jina na Kuitwa jina la kike, hii dunia ina mambo kweli

Angalia sababu ya mwanamme kubadili jina na Kuitwa jina la kike, hii dunia ina mambo kweli

Rashidi alimpa ujauzito mwanafunzi, akashtakiwa.
Kumbe Rashidi ana bibi yake mtaalamu wa yal... Read More

Haya mawazo ya huyu Mtu kuhusu Shetani ni kiboko

Haya mawazo ya huyu Mtu kuhusu Shetani ni kiboko

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka k... Read More