Sidebar with Floating Button
Vichekesho vya AckySHINE
☰
AckyShine

Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu

Featured Image

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.

3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.

4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.

6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.

7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.

10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.

11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick

12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi

13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani

14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.

15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.

16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.

17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.

18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia "abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier

AckySHINE Solutions

Comments

Please Join AckySHINE to Participate in Discussion.

No comments yet. Be the first to share your thoughts!

Related Posts

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Kichekesho cha mtalii na mbongo

Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote!

Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti a... Read More

Kingereza sio mchezo, angalia huyu anavyojichanganya

Kingereza sio mchezo, angalia huyu anavyojichanganya

Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi... Read More

Ndoa zina mambo, cheki haya mambo ya mtu na mke wake

Ndoa zina mambo, cheki haya mambo ya mtu na mke wake

Mke: mume wangu leo 2badilishe stail kwani nimechoka kla siku hiyo hiyo tu
Mme: kwel mke wan... Read More

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!

JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo. Mke... Read More
Eti kwani wewe ni turubali?

Eti kwani wewe ni turubali?

Unakuta MTU mwaka Mzima

Umehudhuria,Β birthday... Read More

Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi

Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia "mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupi... Read More

Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

Angalia kile kitabia cha kufuta namba kwenye simu kilivyomponza huyu jamaa

Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Katika futa futa si nimefut... Read More

Januari kweli ngumu, soma hii

Januari kweli ngumu, soma hii

Januari kweli kiboko

Hii january sabuni za kuogea ni zile za kuoshea vyombo, yani u... Read More

Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya

Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya

Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofi... Read More

Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi

*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya k... Read More

Wadada acheni hizo

Wadada acheni hizo

Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka(cheated)na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako u... Read More

Faida 3 za uvutaji wa sigara

Faida 3 za uvutaji wa sigara

Ni hizi

1. Mvuta sigara hazeeki
2. Mvuta sigara haumwi na mbwa
3. Mvuta sigara ny... Read More