Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi

🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.
Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu…

Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maji
🤒🤒🤒

236 thoughts on “Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi”

Leave a Reply to Paul Ndomba Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart