Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulizeโ€ฆ

Kaka, mbona u mnyonge hivyo?”

Jamaa : ‘aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!!

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

236 thoughts on “Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa”

Leave a Reply to Charles Mboje Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart