Huyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!

Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu.

Basi alvyotoka akamuuliza,”ehe mme wangu ulienjoy?” Mme,”ah wajinga hawa!

Wameniwekea wimbo wa taifa,nimejisaidia huku nimesimama

236 thoughts on “Huyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!”

Leave a Reply to Faith Kariuki Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart