Huyu bibi kazidi sasa

Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu,

Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka,

Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu,

Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka,

KibakaΒ  “Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua”,

Bibi kajibuΒ  “Bado Mtama”

bibi ujinga hapendagi”😑😑😑😑😑

236 thoughts on “Huyu bibi kazidi sasa”

Leave a Reply to Baraka Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart