Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake

Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:

MUME – mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.

MKE – nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu.

236 thoughts on “Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake”

Leave a Reply to Stephen Kikwete Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart