Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani β›ͺ

MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,

Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.

236 thoughts on “Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani β›ͺ”

Leave a Reply to David Sokoine Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart