Hakuna siku mbaya maishani kama hii

Hakuna siku mbaya maishan kuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, afu we umeninginia kwenye daladala,,, tena ulikua unamzid akili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hapo Ndo utajua kwann gunia na dunia vinatofautiana neno moja

236 thoughts on “Hakuna siku mbaya maishani kama hii”

Leave a Reply to Stephen Mushi Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart