Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?

Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana

..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂

238 thoughts on “Eti kupooza chai kwa kizungu inaitwaje?”

Leave a Reply to Lydia Mzindakaya Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart