Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka

Kuna jamaa alipata ajali akapofuka macho👀, akaenda hospital akawekewa macho ya paka🐈🐱,
dokta akamuuliza: vipi saizi unaona?
jamaa: naona ila naona panya tu
👀🐀🐁🐀👀

236 thoughts on “Dunia ina mambo! Angalia kilichotokea baada ya mgonjwa kuwekewa macho ya paka”

Leave a Reply to Christopher Oloo Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart