Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!

Baada ya mwizi kuvunja mlango huko Tarime, akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye bakuli vikiwa vimekauka. Akaonja 1 akaona kitamu na kina chumvi! Akavila vyote. Alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa; “chumba cha UKEKETAJI WANAWAKE”. Unafikiri atakuwa amekula nini?

236 thoughts on “Duh! Angalia alichokula huyu mwizi! Wizi mwingine bwana!”

Leave a Reply to Wande Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart