Cheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani

Vichaa wawili walikuwa wamekaa sehemu ghafla ikapita ndege angani kichaa mmoja akasema ndege ile hitakua imembeba rais kichaa mwenzake akajibu hapana ile imebeba wazungu kama ingekuwa imembeba rais ungeona mapikipiki mbele

236 thoughts on “Cheki wanachokisema vichaa baada ya kuona ndege inapita angani”

Leave a Reply to Diana Mallya Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart