Baadhi ya misemo mikali ya leo

1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.

2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.

3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.

5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.

6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.

7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.

8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.

9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.

10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.

236 thoughts on “Baadhi ya misemo mikali ya leo”

    1. “.yani mtu unakuta nimevaa vizuri
      :badara uniambie nduguyangu
      =umependeza
      .unakuja kuniambi
      .ET UMEULAMBAA
      WEWE nimeulamba mnini..
      naulishawahi kuniona naulamba wap nanani alikwambia mimi naulamba
      umeona naishara gani paka ukasema nimeulamba nimeramba kinini umeona mimi ndo wakuulamba mimi kwel au ww unaesoma ndohuwa unaulamba

      aaaa badilisheni kali bwana a
      (abu me by )

Leave a Reply to Ruth Wanjiku Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart