Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?

MUME wakati anakata roho huku mkewe akiwa amemshikilia alisema mke wangu, mi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yako

MKE akamnong’oneza mume wake na kumwambia mbona mimi nayafahamu yote, ndio maana nimekupa sumu ili na wewe ujue uchungu wake. JE NANI ZAIDI?

236 thoughts on “Angalia walichofanyiana hawa wanadoa, Kati ya huyu mme na mke nani zaidi?”

Leave a Reply to Janet Mwikali Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart