Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu

Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila langu
Bac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitaje
Mimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga wenyewe
😂😂😂😂😂😂😂
Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi

236 thoughts on “Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu”

Leave a Reply to Paul Ndomba Cancel Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart